1 Corinthians 15:41

41 aJua lina fahari ya aina moja, mwezi nao una fahari yake na nyota pia, nazo nyota hutofautiana katika fahari.

Copyright information for SwhNEN